WANAFUNZI 87 ARU WATWAA TUZO ZA TAALUMA

WANAFUNZI 87 ARU WATWAA TUZO ZA TAALUMA

Chuo Kikuu Ardhi kimewatunuku tuzo mbalimbali wanafunzi 87 walifanaya vizuri zaidi kwenye masomo yao namno tarehe 11/12/2020. Hafla hiyo ya utoaji tuzo hizo imefanyika chuoni hapo ambapo mgeni ramsi alikuwa Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Evaristo Liwa akiwa ameambatana na wasaidizi wake Naibu Makamu Mkuu wa Chuo -Taaluma na Naibu Makamu Mkuu wa Chuo, Mipango,Fedha na Utawala Dkt. Makarius Mdemu.

Prof. Gabriel Kassenga katika hotuba yake amesema tuzo hizo ziekuwa zikitoleawa na wadau mbalimbali nje na ndani ya Chuo kwa miaka kadhaa kwa kujitolea ufadhiri wa hali na mali kwa wanafunzi kwa wanafunzi walifunzu kupata tuzo hizo. Aliongeza kuwa miongoni kwa zawadi zainazotolewa na wafadhiri hao zimekuwa zikiongeza tija kwenye maish ya wanafunzi kieleimu ba kiuchumi na kwamba kati ya hao 87 , 44 ni wavulana na 43 ni wasichana.

Mwanafunzi aliyeibuka kuwa mshindi wa jumla kwa mwaka huu ni msichana ambaye apeweza kupata tuzo tisa kutoka kwa wafadhiri mbalimbali, pia Prof. Kassenga amewapongeza wanafunzi wote waliofanya vizuri na wanawote waliweza kuhitimu masomo yao kwa mwaka 2020.

DSC_0049

Niabu Mkamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi – Taaluma akitoa hotuba yake siku ya hafla hiyo

DSC_0014

Viongozi wa Chuo Kikuu Ardhi wakiimba wimbo wa Chuo kabla ya kuanza hafla ya utoaji tuzo.

DSC_0001

Baadhi ya wanafunzi wakiendelea kushuhudia itoaji tuzo kwa vijana waliofanya vizuri katika masomo yao

DSC_0027

DSC_0057

DSC_0072

DSC_0098

Mbonaga Siraji ndiye mhitibu bora wa pili ambaye alipata tuzo saba akipokea zawadi kutoka kwa Makamu Mkuu wa Chuo

DSC_0408

Jasmine Mndeme mwanafunzi bora wa ARU 2020 mara baada ya kupokea tuzo hizo

DSC_0143

DSC_0135

DSC_0073

DSC_0166

DSC_0626

DSC_0599

Picha ya pamoja wanafunzi wakiwa na mgeni rasmi