MITIHANI YA KUMALIZA MWAKA WA MASOMO 2019/2020 KUMALIZIKA

MITIHANI YA KUMALIZA MWAKA WA MASOMO 2019/2020 KUMALIZIKA

Wanafunzi wa Chuo Kikuu Ardhi mapema siku ya ijumaa tarehe 11,Septemba wamemaliza mitihani yao kwa mwaka wa masomo 2019/2020 huku baadhi yao wakimaliza masomo yao chuoni hapo na tayari kuingia kwenye soko la ajira. Baadhi ya picha zinaonesha baadhi ya wanafunzi walimaliza masomo yao chuoni hapa  wakika katika nyuso za furaha mara baada ya kuamaliza salama masomo yao.

IMG-4351

IMG-4429

IMG-4424

IMG-4447