ARU BONANZA LAFANA

ARU BONANZA LAFANA

Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Evaristo Liwa ameshiriki kukamilisha ARU BONZNA lililoandaliwa na ofisi ya michezo ya Chuo Kikuu Ardhi kwa kushirikiana na idara mbalimbali.Bonanza hilo lilijumuisha wafanyakazi na wanafunzi wa Chuo Kikuu Ardhi siku ya jummaosi tarehe 15-08-2020 katika viwanja vya chuo, michezo mbalimbali ilikuwepo katika ya wafanyakazi na wanafunzi ikiwemo mpira wa pete, mpira wa kikapu, kuvuta kamba, mpira wa miguu, kula tunda la Apple na michezo mingine ya jadi.

Prof. Liwa alikabidhi pia baadhi ya tuzo mbalimbali kwa makundi yote kwa walioibuka na ushindi kama motisha na ishara ya kuona juhudi zao katika ushiriki wa michezo Chuoni.

IMG-2308(1)

IMG-2028

IMG-2263

IMG-2046

IMG-2113

IMG-2172

IMG-2641

IMG-2197

IMG-2034

IMG-2619

IMG-2471

IMG-2481

IMG-2428

IMG-2256

IMG-2166

IMG-2131

IMG-2272

IMG-2242