PRESENTATION OF EPOXY FLOORING AT ARDHI UNIVERSITY

PRESENTATION OF EPOXY FLOORING AT ARDHI UNIVERSITY

The Department of Building Economics School of Architecture Construction Economics and Management on 21st July 2020 invited a Practitioner from SIKA TANZANIA namely Riziki Mtei to make a presentation on ”Epoxy flooring” to 1st and 2nd year students studying Building Construction  course.The aim is to enhance on floor finishing to building and expose students to contemporary building materials and technology.

IMG-0854

Oliva Gonda Asst. Lecturer from Building Economics department during the presentation. Continue reading PRESENTATION OF EPOXY FLOORING AT ARDHI UNIVERSITY

MAFUNZO MAALUMU KWA SERIKALI MPYA WA WANAFUNZI (ARUSO)

MAFUNZO MAALUMU KWA SERIKALI MPYA WA WANAFUNZI (ARUSO)

Chuo Kikuu Ardhi  kupitia Ofisi ya Mshauri wa wanafunzi  kimeendesha mafunzo maalumu kwa serikali mpya ya wanfunzi (ARUSO) siku ya jumamosi tarehe 18 Julai,2020 katika ukumbi wa IHSS.Mafunzo hayo yameendesha na Mshauri wa wanafunizi Bi. Amina Mdidi na waendeshaji wengine kutoka TAKUKURU na Mwenyekiti wa Bodi ya NEMC Prof. E.O.Chaggu.

Mafunzo hayo huwa yanatolewa kila mwaka kwa viongozi hao kama utaratibu wa chuo kuweza kuwajengea uwezo viongozi wapya katika kutekeleza majukumu yao na kufahamu mambo muhimu ya kuzingatia wakiwa kama viongozi.

IMG-0560

Mshauri wa wanafunzi Chuo Kikuu Ardhi Bi. Amina Mdidi akitoa ufanunuazi juu ya madhumuni ya mafunzo hayo.

Continue reading MAFUNZO MAALUMU KWA SERIKALI MPYA WA WANAFUNZI (ARUSO)

ARDHI UNIVERSITY CONDUCTED SHORT COURSE ON LAND MANAGEMENT,FORMALISATION AND REGULARISATION OF INFORMAL SETTLEMENTS

ARDHI  UNIVERSITY CONDUCTED A  SHORT COURSE ON LAND MANAGEMENT,FORMALISATION AND REGULARISATION OF INFORMAL SETTLEMENTS.

The Institute of Human Settlements Studies (IHSS) of Ardhi University has conducted a five days’ tailor made short course on Land Management, Formalisation and Regularisation of Informal Settlements at the University. The course was officially closed by Dr. Makarius Mdemu, the Acting Deputy Vice Chancellor for Planning, Finance and Administration on Friday, 17th July, 2020. The course drew eight participants from the Zanzibar Land Transfer Board.

The course was designed to build their capacity on the aspects of Land management, Land administration, Land regularisation and Property valuation. After the course,the participants were expected to have a wider knowledge on land management, land administration, land use planning; land economics and property valuation; be able to organize and pursue land formalisation and regularisation in collaboration with other stakeholders; be aware and prepare cost components for accomplishing formalisation and regularisation projects; and, appreciate the value of spatial planning in land management and regularisation schemes.

IMG-0398

Dr. Makarius Mdemu, the Acting Deputy Vice Chancellor Planning, Finance and Administration giving the closing remarks to the participants. Continue reading ARDHI UNIVERSITY CONDUCTED SHORT COURSE ON LAND MANAGEMENT,FORMALISATION AND REGULARISATION OF INFORMAL SETTLEMENTS

MAFUNZO KWA VITENDO -MUHEZA

MAFUNZO KWA VITENDO -MUHEZA

muheza

Wanafunzi wa Chuo Kikuu Ardhi wamekuwa mstari wa mbele kuhakikisha wanafunzi wanaenda kwenye maeneo mablimbali katika Mikoa ya Tanzania kufanya mafunzo kwa vitendo katika kuimarisha yale wanaofundishwa darasani.

Pichani ni picha mbalimbali wakiwa katika kijiji cha Mpapayu Wilayani Muheza wakishirikiana na wanavijiji katika kuwapatia elimu hiyo kwenye masuwala ya umuhimu wa mpango na matumizi bora ya ardhi.

Wanafunzi hao wanatumia ushirikishi wa wanakijiji katika kukusanya taarifa na pia kuwajengea wananchi uwezo wa kupanga na kusimamia mpango huo wa matumizi bora ya ardhi.

79e02197-88d2-44ed-b12b-98626b651b51

Baadhi ya wanakijiji wa Mpapayu-Muheza Continue reading MAFUNZO KWA VITENDO -MUHEZA