CHUO KIKUU ARDHI KURASIMISHA MAKAZI YA MIJI TISA WILAYANI MBARALI

CHUO KIKUU ARDHI KURASIMISHA MAKAZI YA MIJI TISA WILAYANI MBARALI

Katika kuchangia huduma za maendeleo nchini, Chuo Kikuu Ardhi kimeandaa Mpango Kabambe wa kurasimisha makazi katika miji midogo tisa ya wilaya ya Mbarali ambayo ni Ubaruku, Rujewa, Igawa, Mabadaga, Chimala, Igurusi, Mswiswi, Utengule Usangu na Madibira.

IMG_1267Mwanakijiji wa kata ya Ubaruku  kijiji cha Mpakani akioneshwa namba ya kiwanja chake.
Continue reading CHUO KIKUU ARDHI KURASIMISHA MAKAZI YA MIJI TISA WILAYANI MBARALI

CHUO KIKUU ARDHI CHATOA MAFUNZO YA KUTENGENEZA MKAA JADIDIFU WILAYANI MBARALI

CHUO KIKUU ARDHI CHATOA MAFUNZO YA KUTENGENEZA MKAA JADIDIFU WILAYANI MBARALI

Chuo Kikuu Ardhi chatoa mafunzo ya kutengeneza mkaa jadidifu kwa kutumia pumba za mpunga katika miji midogo tisa ya wilaya ya Mbarali ambayo ni Ubaruku, Rujewa, Igawa, Mabadaga, Chimala, Igurusi, Mswiswi, Utengule Usangu na Madibira.

IMG_1144Washiriki wakisikiliza semina juu ya utengenezaji mkaa jadidifu wilayani mbarali. Continue reading CHUO KIKUU ARDHI CHATOA MAFUNZO YA KUTENGENEZA MKAA JADIDIFU WILAYANI MBARALI

MKUU CHUO KIKUU ARDHI AHUDHURISHA MAHAFALI YA 13 YA CHUO HICHO DAR.

MKUU CHUO KIKUU ARDHI AHUDHURISHA MAHAFALI YA 13 YA CHUO HICHO DAR

A64U2041[1]Mkuu wa Chuo kikuu Ardhi (ARU) Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya akiongoza andamano la wana taaluma katika mahafali ya kumi na tatu ya chuo kwa minajili ya kutunukisha digrii na Stashahada za chuo Kikuu Ardhi jijini Dar es Salaam Disemba 7 2019. Pamoja naye ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Evaristo Liwa (kulia) na Naibu Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Chuo, Muhumbi. Continue reading MKUU CHUO KIKUU ARDHI AHUDHURISHA MAHAFALI YA 13 YA CHUO HICHO DAR.

HAFLA YA UTOAJI TUZO ZA MASOMO KWA WANAFUNZI BORA CHUO KIKUU ARDHI 2019 YAFANA


HAFLA YA UTOAJI TUZO ZA MASOMO KWA WANAFUNZI BORA CHUO KIKUU ARDHI 2019 YAFANA

BEST[1]

Mkurugenzi wa Kampuni S-M Cathan, Turyahikayo Mugisha akimkabidhi mwanafunzi bora wa Mwaka katika masomo yote Hellen Shita Cheti cha utambuzi na hundi ya fedha wakati wa hafla ya kukabidhi tuzo kwa wanafunzi waliofanya vizuri kwenye masomo yao.  Wanaoshuhudia (wa nne kushoto) ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU) Profesa Evaristo Liwa, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo –Taaluma, Profesa Gabriel Kassenga (wa pili kushoto), Naibu Makamu Mkuu wa Chuo-Mipango, Fedha na Utawala, Profesa Carolyne Nombo(kulia) na baadhi ya wanataaluma wa chuo. Continue reading HAFLA YA UTOAJI TUZO ZA MASOMO KWA WANAFUNZI BORA CHUO KIKUU ARDHI 2019 YAFANA