BALOZI WA SWEDEN ATEMBELEA CHUO KIKUU ARDHI

BALOZI WA SWEDEN ATEMBELEA CHUO KIKUU ARDHI

Balozi wa Sweden, Balozi Anders  Sjobery atembelea Chuo Kikuu Ardhi na kukagua baadhi ya shughuli zinazofanyika Chuo na maendeleo yake kwa ujumla.

Aidha Balozi Sjobery alitembelea baadhi ya skuli na kuona tafiti mbalimbali zinazofanywa na wanafunzi wa Chuo Kikuu Ardhi, baadhi ya skuli alizotembelea ni skuli ya Sayansi ya Mazingira na Teknolojia na Skuli ya Sayansi za Dunia, Wekezaji katika Miliki, Biashara na Infomatikia.

 IMG_7424Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Evaristo Liwa akielezea jambo kwa  Balozi wa Sweden, Balozi Anders Sjobery alipofika Chuo Kikuu Ardhi. Continue reading BALOZI WA SWEDEN ATEMBELEA CHUO KIKUU ARDHI