MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU ARDHI AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI WOTE WA CHUO

MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU ARDHI AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI WOTE WA CHUO

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi Prof. Evaristo Liwa  amekutana na wanyakazi wote wa chuo na kujadili mambo mbalimbali yanayohusu Chuo, kubwa ikiwa ni maendeleo yanayofanyika chuoni, ikiwemo ujenzi wa mabweni ya wanafunzi, ujenzi wa jengo la Lands Wing B, ujenzi wa barabara na ukarabati wa miundo mbinu kama vile madarasa, mabweni na karakana za kujifunzia.

Katika  kikao hicho kilichofanyika Julai 25, 2019 Prof. Liwa pia  amegusia mambo mbalimbali kuhusu taaluma na kusema kuwa Chuo kimekuwa kikifanya vizuri sana katika maswala ya ufundishaji na kuwataka wanataaluma waendelee kufanya kazi kwa weledi ili wanafunzi wanaomaliza Chuo Kikuu Ardhi waendelee kuwa bora katika soko la ajira.

Prof. Liwa pia ametumia kikao hicho kuishukuru serikali ya awamu ya tano kwa kukipatia Chuo 100% ya fedha zote za maendeleo iliyotengewa kwa mwaka 2018/2019.

Wanyakazi pia wametoa maoni yao mbalimbali ili kuweza kuboresha Chuo ikiwemo kutumia mbinu anuwai za kukitangaza chuo kitaifa na kimataifa.

PHOTO SHO

Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Evaristo Liwa akiongea na wafanyakazi siku ya tarehe 25 Julai, 2019 Arch. Plaza. Continue reading MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU ARDHI AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI WOTE WA CHUO

2019 EALAN CONFERENCE

 

THE 2019 EALAN CONFERENCE

Ardhi University with support from GIZ, NUFFIC, ADLAND  organized the 2019 EALAN Conference in Zanzibar on “Quest for Smart Solutions for Responsible Land Management and Land Administration in Eastern Africa”.

The conference represent Universities of the EALAN member countries, NELGA members, our collaborating partners, academicians and practitioners in the disciplines involved in land management and land administration.

Also the conference seeks to explore quicker solutions based on smart-technologies to help overcome the challenges that the Eastern Africa region faces. Traditional methodologies of mapping, registering and titling land have not yielded the desired outcomes. The key solution lies in digitization of the land administration systems that would help ensure good land governance, land readjustment and consolidation for food security generally in line with the Continent’s thrive for ‘feed the future’.

The Conference was officially opened by Ardhi University Vice Chancellor  Prof. Evaristo Liwa on 23rd July, 2019 at Ngalawa Hotel and Resort Bububu, Zanzibar.

IMG_8935

Guest of honor Prof. Evaristo Liwa officiating the 2019 EALAN Conference held at Ngalawa Hotel and Resort Bububu Zanzibar on 23 July, 2019. Continue reading 2019 EALAN CONFERENCE

ARDHI UNIVERSITY SIGNED MoU WITH UNIVERSITY OF TWENTE

ARDHI UNIVERSITY SIGNED MoU WITH UNIVERSITY OF TWENTE

ARDHI University, Tanzania, duly represented by Prof. Evaristo J. Liwa, Vice-Chancellor and University of Twente, Faculty of Geo-Information Science and Earth Observation, Enschede, The Netherlands, as represented by Ton Mank on behalf of Prof. Dr. Ir. A. Veldkamp, Dean, at “ITC” signed Memorandum of Understanding.

The MoU signed on 19 July, 2019 and it will remain in force for a period of 5 years. Also involves   a Cooperation Programme between UT-ITC and ARDHI University.

Objectives of this Memorandum of Understanding (“MoU”) is that; the Parties to seek and investigate opportunities to work together cooperatively to develop and implement education, training and related capacity development activities and Parties will collaborate on the establishment of a joint educational program at Diploma level.

The event followed by the GFM4 graduation where by this year a total of six graduands receive their diploma certificate.

IMG_8537

Vice Chancellor Prof. Evaristo Liwa signing MoU between Ardhi University and University of Twente. Continue reading ARDHI UNIVERSITY SIGNED MoU WITH UNIVERSITY OF TWENTE