WAAJIRIWA WAPYA CHUO KIKUU ARDHI WAPEWA SEMINA ELEKEZI

WAAJIRIWA WAPYA CHUO KIKUU ARDHI WAPEWA SEMINA ELEKEZI:       

Waajiriwa wapya 25 wa kada mbalimbali Chuo Kikuu Ardhi wamepatiwa semina elekezi katika maswala mbalimbali yahusuyo ajira zao ili kuleta tija na ufanisi kazini.Semina hiyo iliyohudhuriwa pia na wakufunzi kutoka TAKUKURU imefanyika leo tarehe 13/02/2014 katika ukumbi wa Council Chamber wa Chuoni hapo.

Akizungumza na wafanyakazi hao, Prof. Carolyne Nombo ambae ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Mipango, Fedha na Utawala amesema, Chuo kimekua kikiandaa utaratibu wa kuwakutanisha wafanyakazi wapya na uongozi wa Chuo pamoja na maafisa waandamizi mbalimbali ili kuwajengea uelewa wa mambo mbalimbali muhimu kwa utendaji  kazi wao. Pia amewataka Waajiriwa hao kusoma sera na miongozo mbalimbali ya Chuo ili kuweza kuelewa vyema haki zao na wajibu wao kwa taasisi na taifa kwa jumla.

Akifungua mafunzo hayo ya siku moja, Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Evaristo Liwa amewaasa wafanyakazi kuwa wazalendo kwa taasisi yao na kujitolea kufanya kazi zinazohusu ustawi wa Chuo pindi watakapohitajika kufanya ivyo. Amesema Chuo Kikuu Ardhi kimeanza kutekeleza Mpango wake wa maendeleo wa ukuaji (ARU-Master Plan) hivyo amewataka wafanyakazi wote kuwa miongoni mwa mabadiliko hayo makubwa kwa kujitolea kufanya kazi zitakazohitaji ujuzi na utaalamu wao.

Nae Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma, Prof. Gabriel Kassenga amewataka waajiriwa wanataaluma kujiendeleza zaidi kielimu, kufanya tafiti na kutoa machapisho ili kuendelea kupanda kitaaluma na pia kuifanya hadhi ya Chuo kuendelea kupanda.

Kwa upande wao Maafisa kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU wametoa elimu kuhusu rushwa na madhara yake.

1Mkurugenzi Rasilimali Watu Mr. Essau Swila wa Chuo Kikuu Ardhi akitoa utambulisho wakati wa mafunzo kwa waajiriwa wapya

Continue reading WAAJIRIWA WAPYA CHUO KIKUU ARDHI WAPEWA SEMINA ELEKEZI

WAFANYAKAZI NA WANAFUNZI WANAMICHEZO WA CHUO KIKUU ARDHI WAKABIDHI VIKOMBE VYA USHINDI KWA MAKAMU MKUU WA CHUO

WAFANYAKAZI NA WANAFUNZI WANAMICHEZO WA CHUO KIKUU ARDHI WAKABIDHI VIKOMBE VYA USHINDI KWA MAKAMU MKUU WA CHUO

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi Prof. Evaristo Liwa amepokea vikombe vya ushindi na vyeti vya ushiriki kutoka kwa wafanyakazi na wanafunzi walioshiriki mashindano mbalimbali ya kimichezo. Makabidhiano hayo yamefanyika katika hafla fupi iliyoandaliwa na ofisi ya Mshauri wa Wanafunzi siku ya tarehe 08/02/2019 katika ukumbi wa  DMTC wa Chuo Kikuu Ardhi na kuhudhuriwa na viongozi waandamizi wa chuo pamoja na wanamichezo.

Chuo Kikuu Ardhi kimeshiriki Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Mashirika ya Umma na Makampuni binafsi Tanzania (SHIMUTA) na pia kimeshiriki mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Vyuo Vikuu Afrika Mashariki (EAUG) yanayokutanisha vyuo vikuu vya Afrika Mashariki na kushinda michezo mbalimbali.

1Mshauri wa Wanafunzi Bi. Amina Mdidi akitoa utambulisho katika hafla fupi ya kukabidhi vikombe vya ushindi na vyeti vya ushiriki kushoto ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Mipango, Fedha na Utawala Prof. Carolyne Nombo. Continue reading WAFANYAKAZI NA WANAFUNZI WANAMICHEZO WA CHUO KIKUU ARDHI WAKABIDHI VIKOMBE VYA USHINDI KWA MAKAMU MKUU WA CHUO

Launching of CityLab Dar es Salaam

Launching of CityLab Dar es Salaam

The CityLab is a platform for re-imagining the co-production of space in Dar es Salaam. The CityLab is hosted at the Institute of Human Settlements Studies (IHSS) and aims at developing innovative research, conduct purposeful training and do experiment on urban transformation. The aim of the CityLab is to understand and influence systemic change, to produce policy-relevant knowledge and to develop solutions and ideas towards a more sustainable human settlement path.

Background and Idea

The CityLab vision is grounded in the idea that urban challenges need to be addressed through co-produced knowledge and equitable partnerships. This is the reason why the CityLab looks into working with a multidisciplinary group of researchers, practitioners, game changers, activists, artists and all other important stakeholders, aiming at inquiring, documenting and intervening in the way the city is reproduced.

The CityLab initiated its pilot activities in 2017 through seed funding from the African Urban Research Initiative (AURI) and gradually developed as a platform for action research taking into account a diverse pool of knowledge. From 2018 until 2020 the CityLab is supported by the Robert Bosh foundation.

Operations and the structure

The CityLab core research group under the leadership of Dr. Nathalie Jean-Baptiste, Senior Research Fellow at IHSS will carry 13 interventions in a first phase of 24 months. These interventions take different forms. There are for example: Public Lectures, Urban Night series, Creative Design and Methodology Workshops, International exhibitions and Prototyping. It is also planned to develop an interactive online platform in the long term.

The CityLab collaborates across borders with other African institutions with a similar ‘laboratory approach’ to expand the knowledge co-produced at Ardhi University as well as to exchange on drivers of urban development and transformation. Some of these laboratories are the Tanzanian Urbanization Laboratory at ESRF (Tanzania), the Urban Action Lab (Uganda), the Living Lab (Nairobi), CLUSTER (Cairo), and the Laboratoire Citoyenntée (Burkina Faso)

2Vice Chancellor Prof. Evaristo Liwa giving a opening speech of the launching of CityLab Dar es Salaam. Continue reading Launching of CityLab Dar es Salaam