WAZIRI WA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA AFUNGUA MAONESHO YA 13 YA VYUO VYA ELIMU YA JUU

WAZIRI WA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA AFUNGUA MAONESHO YA 13 YA VYUO VYA ELIMU YA JUU

Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako amefungua maonesho ya 13 ya vyuo vya elimu ya juu ambapo pia Chuo Kikuu Ardhi ni moja ya vyuo vikuu vinavyoshiriki maonesho hayo.

7

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi Prof. Evaristo Liwa akimuelezea Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako mara baada ya kutembelea banda la Chuo Kikuu Ardhi katika maonesho ya 13 ya Vyuo Vikuu kushoto ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo – Taaluma Prof. Gabriel Kassenga. Continue reading WAZIRI WA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA AFUNGUA MAONESHO YA 13 YA VYUO VYA ELIMU YA JUU

SSPSS third year students from URP department presented their Design Studio Projects

SSPSS third year students from URP department presented their Design Studio Projects

 On July 16, 2018 third year students from the School of Spatial Planning and Social Sciences Department of Urban And Regional Planning conducted their presentation for design studio projects. The objective of urban design studio is to equip the students with knowledge on how to address urban design problems with an urban design solution.

A total of 52 students grouped into four and present the following projects; Mtwara Central Area redevelopment plan which involve the design of Mtwara central business district to address the present challenges and accommodate the future needed, Mtwara industrial estate design which involve the design of an industrial neighbourhood with infrastructures and wide variety of industries including service industries, medium scale industries and heavy industries, Mikindani / mjimwema satellite town, Water front development projects and Design of Mtwara port.

1SSPSS third year students from URP department presenting their design studio projects. Continue reading SSPSS third year students from URP department presented their Design Studio Projects

UTAFITI NA UBUNIFU CHUO KIKUU ARDHI

UTAFITI NA UBUNIFU CHUO KIKUU ARDHI.

Kutana na mwanafunzi  Judith Maduhu mwanafunzi wa Chuo Kikuu Ardhi kutoka skuli ya Sayansi ya Mazingira na Teknolojia wa mwaka wa nne,amefanya utafiti unaohusu usindikaji wa taka ngumu (Recycling process) ametumia taka za karatasi au karatasi taka na magugu maji yanayopatikana ziwani na kwenye mabonde ya maji ambayo yamekuwa changamoto sana kutokana na athari zake katika mazingira.

1

Judith Maduhu Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Ardhi akiwa katika jengo la kufanya tafiti kwa vitendo. (Experimental hall).

Continue reading UTAFITI NA UBUNIFU CHUO KIKUU ARDHI

DISASTER MANAGEMENT CENTRE OF ARDHI UNIVERSITY CONDUCTED A TRAINING ON THE USE OF ONLINE LEARNING PLATFORM.

DISASTER MANAGEMENT CENTRE OF ARDHI UNIVERSITY CONDUCTED A TRAINING ON THE USE OF ONLINE LEARNING PLATFORM.

Disaster Management Centre of Ardhi University conducted a training on the use of Online Learning Platform for the humanitarian sector known as Kaya. The training which involves students of Ardhi University held on Saturday 7th 2018 at Ardhi University. Participants trained to join and use the platform that provides online e-learning and in-person workshop which helps a learner to be professional humanitarian looking for career developments ,or community member supporting to response for crisis.

The platform can be accessed through kayaconnect.org which is designed to be accessed from phones, tablets, laptops and PCs and the lessons are in form of Videos,Documents and files.

IMG_1575

Dr. Fanuel Mlenge giving introductory words on the online learning platform to the participants.

Continue reading DISASTER MANAGEMENT CENTRE OF ARDHI UNIVERSITY CONDUCTED A TRAINING ON THE USE OF ONLINE LEARNING PLATFORM.

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA AFANYA ZIARA CHUO KIKUU ARDHI

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA AFANYA ZIARA CHUO KIKUU ARDHI.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. James Mdoe ametembela Chuo Kikuu Ardhi siku ya Ijumaa tarehe 6 Julai 2018. Katika ziara yake, Naibu Katibu Mkuu   amezungumza na uongozi wa Chuo Kikuu Ardhi juu ya masuala mbalimbali ya uendeshaji wa Chuo. Pia alipata fursa ya kuelezwa na kuona mipango mbalimbali mahsusi ya kimaendeleo ya Chuo.

Baada ya mazungumzo hayo alipata muda wakutembelea baadhi ya miradi ya ujenzi inayoendelea  Chuoni, maabara, na  tafiti . Naibu Katibu Mkuu aliambatana na baadhi ya viongozi wakiongozwa na Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Evaristo Liwa katika kutembelea sehemu hizo.

 

1

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Prof.James Mdoe akiwa ofisini kwa Makamu Mkuu wa Chuo.

Continue reading NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA AFANYA ZIARA CHUO KIKUU ARDHI

WAFANYAKAZI CHUO KIKUU ARDHI WAPEWA ELIMU JUU YA RUSHWA.

WAFANYAKAZI CHUO KIKUU ARDHI  WAPEWA ELIMU JUU YA RUSHWA.

Kamati ya maadili ya  Chuo Kikuu Ardhi (ICARU) kimeandaa mafunzo mafupi juu ya kupambana na kuzuiya Rushwa kazini. Lengo ilikuwa kuwakumbusha na kuwasisitiza wafanyakazi wa Chuo Kikuu Ardhi kuendelea kuwa waadilifu hivyo  kuwa makini na viashiria mbalimbali vya kutoa au kupokea Rushwa katika mazingira mbalimbali Chuoni na nje ya Chuo. Mafunzo hayo yalitolewa na wataalamu kutoka Taasisi ya Kuzuiya na kupambana Rushwa (TAKUKURU) Mafunzo hayo  yamefanyika katika jengo la Arch Plaza siku ya ijumaa tarehe 29/6/2018.

2

Mwenyekiti wa kamati ya maadili ya Chuo Kikuu Ardhi (ICARU) Bw. Omary Kassim ( kushoto) na mtoa mada kutoka  Taasisi ya Kupamba na Kuzuiya Rushwa (TAKUKURU) Bi. Elly Makalla.

Continue reading WAFANYAKAZI CHUO KIKUU ARDHI WAPEWA ELIMU JUU YA RUSHWA.